Skip to main content
Skip to main content

DRC kudhibiti madini yake

  • | BBC Swahili
    881 views
    Duration: 1:19
    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepiga marufuku usafirishaji nje wa makinikia ya shaba na kobalti. Hatua hiyo inalenga kuhamasisha usafishaji na uchakataji wa madini hayo ndani ya nchi ili kuongeza thamani ya rasilimali zake kabla ya kuuzwa katika masoko ya kimataifa. #bbcswahili #DRC #shaba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw