- 1,303 viewsDuration: 3:42Nchini Kenya kauli ya "Sisi ni Sifuna" imeenea sana mitandaoni, na katika majukwa ya kisiasa katika miezi ya hivi karibuni. Labda unajiuliza kauli hii inamaanisha nini, na kwa nini imezua gumzo? Mwandishi wa BBC @sarafinarobi anatujuza ilianzaje na Je inamchango wowowte katika siasa hususan katika msimu huu wa uchaguzi mkuu mwakani? - - #bbcswahili #siasa #uchaguzikenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw