- 22,685 viewsDuration: 1:01Video iliyorekodiwa na mtu aliyekuwa eneo la tukio inaonyesha wakati ambapo mwokoaji kijana wa ufukweni, Ryder Williams mwenye umri wa miaka 16, akimwokoa mvulana wa miaka 10 kutoka baharini huko California. #bbcswahili #california #mawimbibaharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw