- 4,944 viewsDuration: 2:50Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda anayezuiliwa rumande, Kizza Besigye, alianguka Jumatano wakati akihudhuria kikao cha mahakama katika mji mkuu, Kampala, ambapo anakabiliwa na mashtaka ya uhaini. Besigye, mwenye umri wa miaka 70, amekuwa kizuizini tangu Novemba 2024 baada ya kukamatwa pamoja na msaidizi wake, Obeid Lutale, nchini Kenya; wote wawili walirejeshwa Uganda ambapo baadaye walifunguliwa mashtaka ya uhaini. #DiraYaDuniaTV