Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro wa kimaslahi umeibuka kati ya FIFA na UEFA

  • | BBC Swahili
    7,730 views
    Duration: 2:18
    Mgogoro mkubwa wa kimaslahi umeibuka kati ya FIFA na UEFA, kufuatia mpango wa siri wa Rais Giani Infantino kutaka kubinafsisha haki za kibiashara za soka. Hatua hii imesababisha UEFA kutishia kususia mashindano yote ya kimataifa, ikiwemo Kombe la Dunia na pia kutaka Rais wa FIFA kuchunguzwa mienendo yake.Je kashfa hii itampa shinikizo Infantino ama ataendelea na majukumu kama kawaida? Mwandishi wa BBC @bahamusicofficial na taarifa hii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw