Skip to main content
Skip to main content

Wanawake hawakukusudiwa kujifungua wakiwa wamelala chali

  • | BBC Swahili
    19,983 views
    Duration: 1:48
    Kwa maelfu ya miaka, duniani kote, wanawake walizoea kujifungua wakiwa wamesimama au katika hali ya wima iwe kwa kupiga magoti kama ilivyodaiwa kwenye Cleopatra, kutumia viti maalum vya kujifungulia au kuchuchumaa. Lakini kwa sasa ni kwa kawaida kwa mwanamke kujifungua akiwa amelala Sababu kubwa ni Mfaransa mmoja aliyeamua kwamba hali hiyo ilikuwa rahisi zaidi hasa kwa wanaume. @mariammjahid anafafanua zaidi #bbcswahili #wanawake #ujauzito Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw