Skip to main content
Skip to main content

Ndege zagongana angani

  • | BBC Swahili
    7,542 views
    Duration: 23s
    Wafanyakazi wawili wamefariki baada ya helikopta mbili za kuzima moto kugongana angani nchini Ugiriki siku ya Jumapili. Waliofariki ni rubani kutoka Denmark na afisa uhusiano wa huduma ya zimamoto Ugiriki. Rubani na mtu mwingine waliokuwa kwenye helikopta ya pili walinusurika wakiwa na majeraha madogo baada ya helikopta yao kutua kwa dharura kwenye eneo lenye vichaka #bbcswahili #ugiriki #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw