- 5,929 viewsDuration: 32sTazama farasi hawa huko kaskazini-magharibi mwa Athens, wakikimbia huku moto wa nyika ukiteketeza shamba lililokuwa nyuma yao siku ya Jumatatu Vyombo vya habari vya eneo hilo vilivyonasa tukio hilo viliripoti kuwa farasi hao hawakujeruhiwa. Moto wa nyika umeathiri maeneo mbalimbali nchini Ugiriki, ambapo wafanyakazi wawili wa helikopta walifariki dunia walipokuwa wakishiriki katika juhudi za kuzima moto huo. #bbcswahili #ugiriki #motowanyika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw