Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini historia ya Freemason Scotland ilisahaulika?

  • | BBC Swahili
    11,198 views
    Duration: 1:53
    Kwa karne nyingi, watu wamekuwa wakiamini Freemasons ilianzia Uingereza mwaka 1717. Lakini je, hiyo ndiyo kweli? Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kwamba mizizi ya Freemason huenda ilianzia Scotland, zaidi ya miaka 400 iliyopita. Katika jiji la Edinburgh kuna kumbukumbu za kale zinazoonyesha mikutano, wanachama na kanuni za mwanzo za jamii hii ya siri. Lakini kwa nini historia ya Scotland ilisahaulika na England ikachukuliwa kuwa chimbuko lake? @bosha_nyanje anaelezea kwa kina #bbcswahili #freemason #história Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw