Skip to main content
Skip to main content

Shiko wa Machuma: Msichana aliyepoteza miguu yote anayeng'ara kwenye unyanyuaji vyuma Kenya

  • | BBC Swahili
    927 views
    Duration: 7:00
    Hebu fikiria kuamka siku moja na kukuta maisha yako yamebadilika kabisa. Ndivyo ilivyokuwa kwa Margaret Wanjiku maarufu kama 'Shiko wa Machuma' aliyepoteza miguu yako yote miwili baada ya kupata ajali ya treni mwaka 2020 Amezungumza na mwandishi wa BBC Asha Jumabaada ya kumtembelea katika eneo lake la kufanya mazoezi, na kuelezea safari yake ya maisha. #bbcswahili #waridiwabbc #shikomnyanyuavyuma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw