- 2,183 viewsDuration: 39sTazama jinsi simbamarara jike (chui milia) aina ya Amur alivyoachiliwa katika Hifadhi ya mazingira ya Ile-Balkhash nchini Kazakhstan kama sehemu ya mpango wa kurejesha idadi ya wanyama hao ambao walitoweka kabisa katikati mwa Asia karne moja iliyopita. Umit ni mmoja wa simbamarara wanne aina ya Amur waliohamishwa kutoka Urusi na atafuatiliwa kwa karibu ili kuona jinsi anavyozoea mazingira hayo mapya kabla ya maamuzi ya kuwaachia wengine watatu kufanyika. #bbcswahili #wanyama #chuimilia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw