Skip to main content
Skip to main content

Mama wa Ukraine akisikiliza mapigo ya moyo ya mtoto wake yakidunda ndani ya mwili wa mtoto mwingine

  • | BBC Swahili
    15,214 views
    Duration: 1:12
    Mama mmoja kutoka Ukraine anasikiliza mapigo ya moyo wa binti yake aliyefariki na sasa yakidunda ndani ya mwili wa mtoto mwingine. Nazar, mwenye umri wa miaka 12, alipata nafasi mpya ya kuishi baada ya kufanyiwa upandikizaji wa moyo. Kwa miaka mitatu alikuwa akipambana na saratani ya damu (leukemia), nimonia kali na hatimaye moyo wake ukaanza kushindwa kufanya kazi. Uamuzi wa familia ya msichana huyo kuchangia viungo baada ya kifo chake ulimpa Nazar zawadi ya maisha mapya❤️ Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa hii - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw