25 Nov 2025
- "Shalom-Aleykum",
"Jumapili Mubarak wakrislamu”
-
Kwa siku chache sasa salamu hizi zimekuwa ishara za kusawazisha mazungumzo yaliyoanza kuchukua…
25 Nov 2025
- "Shalom-Aleykum",
"Jumapili Mubarak wakrislamu”
-
Kwa siku chache sasa salamu hizi zimekuwa ishara za kusawazisha mazungumzo yaliyoanza kuchukua…
24 Nov 2025
- Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo wakati wa uchaguzi mkuu, yalichochewa kutoka nje.…
24 Nov 2025
- Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inachonganishwa kutokana na rasilimali zake.
Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake…
24 Nov 2025
- Polisi wa kupambana na ghasia huku kwetu huwa na Farasi,
Lakini katika kisiwa cha Marajó nchini Brazil, kuna usafiri wa kipekee kabisa: wenyeji…
24 Nov 2025
- Maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania mwaka huu hayakuwa tukio la kipekee, Mataifa mengine pia yalipitia hali…
24 Nov 2025
- Upekuzi wa BBC Africa Eye umegundua uwepo wa biashara haramu ya viungo vya mwili wa binadamu nchini Sierra Leone.
Katika uchunguzi huo wa siri,…
23 Nov 2025
- Maelfu ya mashabiki wa muziki wako nchini Uganda kwa tamasha la Nyege Nyege.Tamasha hilo la kila mwaka linasherehekea muziki na
utamaduni wa Afrika…
23 Nov 2025
- Simu ya mkononi imekuwa sehemu muhimu ya mawasiliano yetu kila siku. Lakini sasa, kifaa hiki ndicho kinachotajwa kama sababu kubwa na rahisi zaidi ya…
22 Nov 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
22 Nov 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
22 Nov 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
22 Nov 2025
- Matangazo Maalum ya msiba wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga
22 Nov 2025
- Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele bandia ni maarufu sana kwa wanawake wa kiafrika duniani kote.
Inapendwa na watu mashuhuri na akina…
21 Nov 2025
- Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameonya kwamba nchi yake iko katika hatari ya kupoteza kuungwa mkono na Marekani kufuatia mpango wa rais Donald…
21 Nov 2025
- Mpango mpya wa Marekani kumaliza vita Ukraine
21 Nov 2025
- Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa…
21 Nov 2025
- Video inayoonesha kiongozi wa kidini wa Irani, Amirhossein Javaheri, akitoa adhana lugha ya Kichina ilizua kicheko kikubwa, imeshirikishwa sana…
21 Nov 2025
- Rais Samia Suluhu Hassan, punde baada ya kuapishwa
kama rais wa awamu ya sita nchini Tanzania alitumia
hotuba yake kuwaonya ' wageni ' aliowalaumu…
20 Nov 2025
- Rais wa Kenya William Ruto amesema Kenya imepiga hatua za kuridhisha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita akiwa madarakani, lakini nchi haifanyi…
20 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ana imani kubwa na tume huru ya Uchunguzi iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na…
20 Nov 2025
- Mwili wa mtanzania aliyeuawa na Hamas kuzikwa Nyumbani kwao
20 Nov 2025
- Trump amfurahia Ronaldo
20 Nov 2025
- Jana nimewasikia wenzetu wa upinzani wakisema eti hawana imani na tume hii na kuwa wanataka tume kutoka UN, EU…
Lakini mimi kwa ubobezi na tajriba…
20 Nov 2025
- Mamilioni ya watu nchini Tanzania bado wanategemea vyoo visivyo salama, ambavyo baadhi vinatiririsha uchafu kwenye makazi, mitaani, na hata katika…
19 Nov 2025
- Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimepinga uteuzi wa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio…
19 Nov 2025
- Kesi ya uhaini inayowakabili mamia ya vijana nchini Tanzania imeendelea kusikilizwa hii leo, huku kesi kadhaa zikisikizwa na kuahirishwa kufuatia…
19 Nov 2025
- Kesi ya uhaini inayowakabili mamia ya vijana nchini Tanzania imeendelea kusikilizwa hii na tayari makundi kadhaa mapema hii leo mashauri yao…
19 Nov 2025
- Mamlaka katika jimbo la Kebbi kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema wanajeshi, polisi na watu wa kujitolea wanasaka maeneo ya misitu kuwafuata…
19 Nov 2025
- Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA wamepinga tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini Tanzania wakati…
19 Nov 2025
- Maridhiano baada ya maandamano na ghasia za siku ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ndiyo mada inayotawala mijadala nchini Tanzania kwa sasa. Jumuiya ya…
18 Nov 2025
- Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel, aliyeuawa na kundi la Hamas nchini Israel miaka miwili iliyopita, unatarajiwa kuwasili kesho katika Uwanja wa Ndege…
18 Nov 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Nov 2025
- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,ameunda tume ya kuchunguza matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa terehe 29 oktoba nchini humo.…
18 Nov 2025
- Je, unayajua majina ya timu zitakazocheza Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025?
Barani Afrika, majina ya timu za mpira wa miguu sio tu alama za…
18 Nov 2025
- “Nimemfahamisha katibu mkuu wa jumuiya ya madola kuukubali uteuzi huu ilimradi serikali ya Tanzania inikubali kuwa mpatanishi na jirani mpenda amani…
17 Nov 2025
- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 27 katika mabadiliko makubwa ya uongozi wa…
17 Nov 2025
- Mahakama nchini Bangladesh imemhukumu kifo Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Sheikh Hasina kutokana na ukandamizaji mbaya wa maandamano dhidi ya…
17 Nov 2025
- Mtoto akizaliwa anapewa Zawadi ya mti
15 Nov 2025
- Muongozo mpya wa wahamiaji nchini Marekani umeweka zuio la visa kwa watu wenye unene uliopitiliza, saratani, au kisukari, pamoja wale waliopo kwenye…
15 Nov 2025
- 🌞 Umewahi kufikiria kupika chakula chako kwa kutumia jua tu, bila jiko la umeme au gesi, huku ukisaidia kutunza mazingira!
Wanawake wa jamii ya…
14 Nov 2025
- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha kwa vijana waliokamatwa kufuatia maandamano ya siku 3 yaliyofanyika kuanzia siku ya…
14 Nov 2025
- Rais Samia ameielekeza pia ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kuchambua mashitaka yanayowakabili watuhumiwa wa machafuko hayo na aidha…
14 Nov 2025
- Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaunda tume ya kuchunguza machafuko yaliyotokea wiki ya uchaguzi.
-
-
#bbcswahili #uchaguzi2025 #siasa #…
14 Nov 2025
- ONYO: Maudhui ya kutisha.
BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania.
Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa…
13 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo kufutia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Mwigulu ni mchumi,…
13 Nov 2025
- Mkuu wa masuala ya Haki za Binaadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ameitaka Serikali ya Tanzania kuchunguza na kuchukua hatua za uwajibikaji juu ya…
13 Nov 2025
- Daraja jipya lililofunguliwa hivi karibuni katika jimbo la Sichuan, kusini magharibi mwa China, upande mmoja umeporomoka na kusababisha wingu kubwa…
13 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekua waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Bunge litamthibitisha kisha Rais kumuapisha…
13 Nov 2025
- Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu…