Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya Tundu Lissu yaahirishwa

  • | BBC Swahili
    16,630 views
    Duration: 32s
    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumanne Februari 17 kutokana na kushindwa kuwasili kwa shahidi wa tatu. #bbcswahili #tanzania #tiktoktanzania🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw