Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa maiti waibua mashaka kuhusu kifo cha Constance Githinji

  • | Citizen TV
    14,630 views
    Duration: 2:20
    Upasuaji wa maiti ya Constance Githinji, mwanafunzi wa chuo kikuu aliyepatikana amefariki katika jengo moja mtaani Kileleshwa, umebaini kuwa alikuwa na majeraha kadhaa mwilini, tofauti na ilivyodaiwa awali kwamba alijitoa uhai.