- 18,875 viewsDuration: 2:26Mapenzi yanaweza kuwa silaha ya ujasusi? Historia ya ujasusi ina visa vya watu kutumia mahusiano ya kimapenzi kupata siri za taasisi nyeti. Phillys Mwatee anaangazia baadhi ya watu mashuhuri katika historia waliojikuta wakiporomoka kutokana na mitego ya kimapenzi. #bbcswahili #ujasusi #NVIDIA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw