Skip to main content
Skip to main content

Mazungumzo ya Abu Dhabi: Putin na Zelensky watamaliza vita? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,407 views
    Duration: 28:16
    Wajumbe wa mazungumzo ya kutafuta suluhu kutoka Ukraine, Urusi na Marekani wamemaliza siku ya kwanza kati ya siku mbili za mazungumzo mjini Abu Dhabi, wakijadili namna ya kumaliza vita vilivyodumu kwa karibu miaka mitano. Huu ni mkutano wa kwanza wa aina hiyo kufanyika katika kipindi cha zaidi ya miezi tisa. Wakati mazungumzo yalipoanza, mjumbe wa Marekani, Jared Kushner, alisema Washington inatarajia kuunda mfumo mpya wa usalama, utakaohakikisha amani ya kudumu kwa miongo kadhaa ijayo. #Putin #Zelensky #AbuDhabi #Trump #BBCSwahili #Tiktok #cop31 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw