- 42,384 viewsDuration: 28:16Kiongozi wa upinzani nchini Israel Gadi Eisenkot amepewa siku 28 na rais wa nchi hiyo kujaribu kuunda serikali ya mpya ya muungano, kufuatia uchaguzi wa mwezi uliopita ambao haukuleta mshindi wa wazi. Eisenkot amesema kuwa huu ni mmojawapo wa nyakati ambazo demokrasia ya Israel iko katika hatari kubwa zaidi, na anataka kuunda "serikali ya dharura ya kitaifa". Sasa ana muda wa chini ya mwezi mmoja kujaribu kuunda serikali, huku kukiwa na uwezekano wa kuongezewa muda wa siku 14. Hii inaweza kumaanisha kujaribu kufikia makubaliano na vyama ambavyo vilikuwa sehemu ya muungano wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu. #Eisenkot #Netanyahu #Lissu #Israel #Tanzania #uchaguzi #cop31 #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw