Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Magharibi wamkosoa Mudavadi kwa matamshi kuhusu kura za eneo hilo kwa Ruto

  • | Citizen TV
    20,949 views
    Duration: 1:45
    Matamshi ya mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi kuwa wakazi wa Magharibi hawakumpigia kura rais Ruto, yanazidi kushutumiwa na viongozi wa eneo hilo. Baadhi wanasema vigogo wa kisiasa kutoka eneo hilo walioko serikalini akiwemo mudavadi wamepuuza mahitaji ya wakazi na badala yake kuridhika tu na nafasi zao serikalini. Kulingana nao , matamshi ya mudavadi yanaweza kuchangia kufeli kwa rais ruto katika eneo la magharibi .