- 56,324 viewsDuration: 1:40Gadi Eisenkot, mwanasiasa mwenye asili ya Morocco na jenerali mstaafu wa jeshi la Israel, amepewa siku 28 na Rais Isaac Herzog kujaribu kuunda serikali mpya ya Israel, hatua inayoweza kumaliza utawala wa muda mrefu wa Benjamin Netanyahu. Eisenkot amekuwa akikosoa utendaji wa serikali ya Netanyahu katika vita vya Gaza na sasa anahitaji kuwashawishi wabunge wa kutosha kumuunga mkono ili aweze kuunda serikali. #bbcswahili #eisenkot #netanyahu #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw