29 Apr 2026 1:08 pm | Citizen TV 20,294 views Duration: 2:35 Mali ya thamani ya mamilioni pamoja na magari mawili yameharibiwa baada ya mti mkubwa kuanguka na kufunga barabara kuu ya Malindi - Lamu.