Skip to main content
Skip to main content

Vilio mahakamani baada ya Lissu kusema hajala chakula

  • | BBC Swahili
    38,763 views
    Duration: 39s
    Jaji aliahirisha kesi hiyo ili Tundu Lissu apate chakula kabla kesi haijaendelea Kesi hiyo itaendelea punde na kusikiliza shahidi wa pili kwa siku ya leo. #bbcswahili #tundulissu #siasa #mahakamani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw