- 20,994 viewsDuration: 1:50Katika siku za hivi karibuni, visa vya kurekodiwa kwa siri vimeibua hofu kubwa miongoni mwa wanawake na wasichana barani Afrika. Kenya na Ghana ni mfano wa hili kutokana na kisa cha raia wa Urusi ambaye alidaiwa kurekodi wanawake bila idhini yao, kisha kuchapishwa video hizo mtandaoni. #bbcswahili #kenya #ghana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw