- 12,504 viewsDuration: 3:23Kesi ya kupinga kubanduliwa afisini kwa aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua imeanza rasmi katika mahakama kuu ya milimani, gachagua akieleza mahakama kwamba aliondolewa ofisini kinyume cha sheria mwaka wa 2024. Kupitia kwa mawakili wake, Gachagua anataka mahakama ifutilie mbali uamuzi wa kufurushwa kwake na kuzua maswali ya uhalali wa kuteuliwa kwa Kithure Kindiki kama naibu Rais.