- 19,950 viewsDuration: 3:13Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa anadai malipo ya zaidi ya shilingi milioni 80 na marupurupu ya kustaafu kama fidia ya kuondolewa kwake ofisini. Gachagua aliyefika mahakamani leo kujitetea,alisema hana haja ya kurejea tena ofisini , akisema anachodai kwa sasa ni malipo ya miezi 35 ambayo amehudumu kama naibu rais