12 Nov 2025
- Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu amemuwekea pingamizi shahidi wa jamuhuri kutumia kizimba cha siri ndani ya…
12 Nov 2025
- Wabunge wa Bunge la Tanzania leo wamemaliza rasmi viapo vyao, hatua inayowafanya kuwa wabunge kamili na kuhitimisha kipindi cha kuwa wateule. Zoezi…
12 Nov 2025
- Kwanini rais Samia analaumiwa?
11 Nov 2025
- Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametaka uchunguzi juu ya mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati…
11 Nov 2025
- Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametoa wito kwa mara nyingine kuachiwa huru bila masharti vigogo wote wa upinzani…
11 Nov 2025
- Bunge la 13 la nchini Tanzania limeanza rasmi vikao vyake
11 Nov 2025
- Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusu kuachiwa kwake…
11 Nov 2025
- 'Kesi ya Niffer na wenzie , mahakama itatoa uamuzi iwapo ni uhaini u la!'-
Wakili mwandamizi @PeterKibatala ameeleza
@_.niffer._ ni mfanyabiashara…
11 Nov 2025
- Je mkutano wa COP 30 una manufaa gani kwako?
10 Nov 2025
- Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, John Heche, pamoja na viongozi wengine wa chama hicho wameachiwa…
10 Nov 2025
- Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, (CHADEMA), Tundu Lissu, ambayo ilitarajiwa kuendelea leo Jumatatu…
10 Nov 2025
- Muonekano wa kifahari unaoficha umaskini
10 Nov 2025
- Mahakama kuu ya Tanzania masijala ndogo ya Dar es salaam imeamuru mshtakiwa wa kesi ya uhaini Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha…
10 Nov 2025
- Kuelekea mkutano wa G20 unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba katika mji wa Johannesburg, mwandishi wa Africa Eye Ayanda Charlie anachunguza majengo…
9 Nov 2025
- ‘Tutaanzisha mazungumzo ya maridhiano’
9 Nov 2025
- Wanaanga walivyotengeneza Kuku choma katika anga za mbali
8 Nov 2025
- Kiongozi wa vijana Chadema mwanza ‘aliuawa’ katika maandamano
7 Nov 2025
- Watu 240 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam Tanzania kwa tuhuma za uhaini, zinazohusishwa na maandamano ya…
7 Nov 2025
- Watu zaidi ya 140 washtakiwa kwa makosa ya uhaini Tanzania
7 Nov 2025
- Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania ‘Niffer’ akiwasili mahakamani
7 Nov 2025
- Mabaki ya mwili wa mtanzania aliyeuawa na Hamas kurejeshwa Tanzania
7 Nov 2025
- Baada ya hali ya kawaida kurejea Tanzania kufuatia maandamano na vurugu zilizotibuka siku ya uchaguzi juma lililopita, baadhi ya Wa Tanzania…
7 Nov 2025
- Uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 ulikiuka maadili ya kidemokrasia na uligubikwa na dosari chungu nzima.
Ripoti ya Umoja wa Afrika- @…
6 Nov 2025
- Mashirika yaliyoshiriki katika shughuli ya uangalizi wa uchaguzi wa Tanzania yanasema uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Hii leo, waangalizi kutoka…
6 Nov 2025
- Tangu vurugu za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu nchini Tanzania, majonzi na hofu vimeendelea kutawala katika baadhi ya familia. Baadhi ya familia…
6 Nov 2025
- Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, amewasilisha malalamiko dhidi ya unyanyasaji aliofanyiwa mtaani baada ya video
Akiwa katika mkutano na waandishi…
6 Nov 2025
- Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi ya familia zimeelezea kupoteza wapendwa wao, ambapo baadhi…
5 Nov 2025
- Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, John Heche, ambaye alikamatwa siku 14 zilizopita leo alisafirishwa kutoka…
5 Nov 2025
- Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema kwamba uchaguzi wa Tanzania haukukidhi kanuni na mifumo ya Umoja wa Afrika na kimataifa kuhusu…
5 Nov 2025
- “Mwalimu John Ogutu alipigwa risasi na kuuawa na mwili wake ukalala barabarani hadi kesho yake”
-
Ni huzuni kwa familia ya Mwalimu Mkenya aliyefunza…
5 Nov 2025
- “Bei ya chakula na bidhaa zingine muhimu imepanda mno hapa Zanzibar”
-
Mwandishi wetu @Sammy alipitapita mitaani na kuzungumza na wauzaji.
-
Je huko…
4 Nov 2025
- Raia wa Tanzania wameanza kurejelea shughuli zao za kawaida baada ya serikali kuondoa vikwazo vya usafiri, ikiwemo amri ya kutotoka nje usiku jijini…
4 Nov 2025
- Kufuatia maandamano ya uchaguzi wa Tanzania yaliosababisha uharibifu wa mali na maafa, baadhi ya familia za jamaa waliofariki zimeanza kuzungumza.…
4 Nov 2025
- Raia wa Tanzania leo wameanza kurejelea shughuli zao za kawaida, baada ya serikali kuondoa vikwazo vya usafiri na huduma za intaneti kurejeshwa.
-…
4 Nov 2025
- Mtandao wa intaneti umerejea nchini Tanzania tangu Jumatatu jioni ya tarehe 3 Novemba.
Hata hivyo kwa baadhi ya maeneo bado unasuasua kujiunga na…
3 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa kwa muhula wa pili huku kukiwa na ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na maandamano yenye…
3 Nov 2025
- “Sasa tuchague lenye manufaa kwetu kwani usalama wa taifa lolote hulindwa kwa wote, kwa nguvu zote na kwa gharama zozote.”
-
Rais Samia alitumia…
3 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa kwa muhula wa pili chini ya ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kupingwa na…
3 Nov 2025
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa kwa muhula wa pili chini ya ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kupingwa na…
3 Nov 2025
- Rais mteule wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi leo Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.
Kupitia taarifa ya serikali kwenye…
2 Nov 2025
- “Hakuna magari ya uchukuzi, kila baada ya kilomita chache kuna vizuizi vya polisi.
Nilikuwa nimeshindwa hata kulipia gharama za hotelini”
-
Mkenya…
2 Nov 2025
- Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amewataka waumini wakatoliki kwote duniani kuiombea nchi ya Tanzania kufuatia “vurugu zilizotibuka…
1 Nov 2025
- “Matukio yakiyofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza , Mbeya na Msongwe hayakuwa ya kiungwana wala ya kizalendo.
-
Uzalendo ni kujenga…
1 Nov 2025
- "Wananchi wameibiwa sauti yao... Suluhu pekee ya kupata haki ni uchaguzi mpya,"
Chama cha upinzani, ACT-Wazalendo, kimepinga matokeo ya uchagauzi…
1 Nov 2025
- Siku moja baada ya kutangazwa mshindi,
Dkt Hussein Ali Mwinyi ameapishwa rasmi
kuwa Rais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili.
-
Jaji mkuu wa…
1 Nov 2025
- Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa kura za urais Tanzania licha ya maandamano
Tangazo hili la mwenyekiti wa tume ya uchaguzi INEC, Jacobs…
1 Nov 2025
- Tazama wakati mwenyekiti wa INEC, Jacobs Mwambegele alipomtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa Mshindi wa kura za urais Tanzania.
-
Samia alipata kura…
1 Nov 2025
- Tangu Maandamano yatibuke Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, mtandao wa intaneti ulizimwa na kutumbukiza nchi hiyo katika giza la…
31 Oct 2025
- Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri iloyotolewa na mkuu wa jeshi la nchi hiyo ya kuwataka…
31 Oct 2025
- Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi ambaye ameshinda awamu yake ya pili kupitia chama cha CCM kuiongoza Zanzibar ni nani?
-
Agnes Penda @penda.agnes…