- 10,142 viewsDuration: 8:50Rais wa Marekani Donald Trump ameliambia gazeti la Financial Times kwamba anaweza "kuchukua mafuta nchini Iran" na ikiwezekana akakiteka Kisiwa cha Kharg ambacho ni kitovu kikuu cha mafuta nchini humo. Je, kisiwa hicho kina umuhimu gani? #Kharg #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo #Trump #Iran #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw