Skip to main content
Skip to main content

Vita Iran: Macron amkosoa vikali Donald Trump. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    87,414 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kwamba hoja ya Rais wa Marekani Donald Trump kuwa operesheni ya kivita inaweza kufungua tena mlango wa bahari wa Hormuz huko Iran si jambo ambalo linaweza kutimizwa. Rais Macron pia ameonya kuwa mashambulizi ya mabomu sio suluhu ya kudumu hasa kuhusisna na mpango wa Kinyuklia wa Iran. Macron amewataka viongozi wengine kuangazia vita vya Iran kwa umakini. #Iran #Trump #Macron #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw