Skip to main content
Skip to main content

Wanajeshi wa Marekani wanaenda Iran kufanya nini kama vita inakaribia kuisha?

  • | BBC Swahili
    96,304 views
    Duration: 1:51
    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema “mkakati muhimu” wa operesheni ya kijeshi kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran unakaribia kukamilika ndani ya wiki mbili hadi tatu zijazo. Lakini kauli hiyo imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa sasa, mapigano bado yanaendelea. Israel inaishambulia Iran, huku Iran ikijibu kwa makombora kuelekea Tel Aviv. Swali kubwa ni je, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, atakubaliana na ratiba ya Marekani ya kumaliza vita hivi haraka? @beldeen_waliaula na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #marekani #vita #iran #israeli Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw