- 19,979 viewsDuration: 10:49Kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei hajajitokeza hadharani wala kuonekana katika vyombo vya habari vya Iran tangu kuchaguliwa kuchukua nafasi ya baba yake. Rais wa Marekani Donald Trump alisema kwamba Mojtaba Khamenei “huenda amekufa au yuko katika hali mbaya sana, kwa sababu hakuna mtu amesikia kutoka kwake. Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa huko Geneva amesema kwamba kutokuwepo kwa Khamenei hadharani ni kutokana na “kuzingatia usalama wake.” #mojtabakhamenei #DonaldTrump #Iran #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw