- 30,091 viewsDuration: 2:32Wanaanga waliopo kwenye msafara wa kuzuru mwezi, wamefika nusu ya safari hiyo kwa kuuzunguka mwezi. Safari hiyo ya Artemis II inalenga kufikia upande wa pili wa Mwezi ambao hauwezi kuonekana kutoka duniani kwani uko mbali na Jua. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw