- 5,255 viewsDuration: 1:03Katika mitandao ya kijamii, vijana wengi wameanzisha mtindo wa kunywa maji y moto kila siku asubuhi, mtindo ambao umeenea sana nchini China. Lakini je, kunywa maji moto kunaweza kuboresha afya yako? Mwandishi wa BBC Beldeen Waliaula na taarifa zaidi #bbcswahili #afya #utafitiwakiafya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw