- 114,222 viewsDuration: 2:14Rubani wa Marekani aliyepotea nchini Iran ameripotiwa kuokolewa baada ya operesheni iliyodumu takribani saa 48. Donald Trump alitangaza tukio hilo kama ushindi mkubwa kwa jeshi la Marekani, huku kukiwa na taarifa kuwa kulikuwa na makabiliano ya kijeshi kati ya Marekani na Iran wakati wa uokoaji, na kwamba rubani huyo huenda alikuwa amejeruhiwa baada ya kujitoa kwenye ndege yake ya kivita aina ya F-15E Strike Eagle. Hata hivyo, bado kuna sintofahamu kuhusu mazingira ya tukio hilo @frankmavura anaelezea #bbcswahili #israelnairan #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw