Skip to main content
Skip to main content

Mfumo wa kidigitali wa kufuatilia mama wajawazito

  • | BBC Swahili
    4,347 views
    Duration: 2:12
    Katika Pwani ya Kenya, Kaunti ya Kilifi, kwa kila watoto 1,000 wanaozaliwa, watoto 24 hufa, kwa mujibu wa ripoti ya kaunti ya Kilifi mwezi July mwaka wa 2024 na Juni mwaka wa 2025. Ili kubadilisha hali hii wahudumu wa afya wanatumia mfumo wa kidijitali wa kufuatilia afya ya mama na mtoto uitwao Uzazi Salama. Maelezo zaidi na Mwanahabari wa BBC Sarafina Robi; - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw