Skip to main content
Skip to main content

Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta

  • | BBC Swahili
    55,802 views
    Duration: 1:33
    Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026. Kwa mujibu wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini Tanzania EWURA ,kupanda kwa bei hizo kumetokana na ongezeko kubwa linalosababishwa na mzozo unaoendelea Mashariki ya kati dhidi ya Iran. Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa zaidi - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw