- 54,523 viewsDuration: 9:13Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi "kama Uingereza" ambazo haziwezi kupata mafuta ya ndege kwa sababu ya vikwazo vilivyowekwa kuhusiana na Mlango Bahari wa Hormuz zinapaswa "kuwa na ujasiri ambao umeshachelewa, kwenda kwenye Mlango Bahari, na KUCHUKUA tu". Katika ujumbe kwenye mtandao wa Truth Social, aliandika kwamba nchi "zitalazimika kuanza kujifunza jinsi ya kujipigania, Marekani haitakuwapo kuwasaidia tena, kama vile ambavyo hamkuwepo tulipowahitaji," akizungumzia nchi "ambazo zilikataa kushiriki katika vita vya Iran". #Iran #Trump #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw