- 11,540 viewsDuration: 3:01Kwa nini Iran imesema wazi msimamo wake kuwa haina nia ya kufanya mazungumzo na Marekani hata baada ya Donald Trump kudai kuwa kumekuwa na mazungumzo mazuri kati ya Washington na Tehran? Tofauti hii inaonyesha kitu kimoja, Kutoaminiana. - - #bbcswahili #iran #israel #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw