31 Oct 2025
- Kulikuwa na Shangwe na vigelegele katika baadhi ya barabara Zanzibar hadi usiku wa manane huku wafuasi wa mgombea wa CCM na rais mteule Dkt Hussein…
31 Oct 2025
- Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais katika visiwa hivyo.
Dk.Mwinyi aligombea kwa…
31 Oct 2025
- Mkuu wa Majeshi ya Tanzania amelaani vitendo vya vurugu vinavyoendelea kote nchini na kuvitaja kuwa ni kinyume cha sheria.
-
Katika hotuba yake…
30 Oct 2025
- Mtu mmoja anahofiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia mapambano makali kati ya waandamanaji na polisi katika mpaka kati ya Kenya na…
30 Oct 2025
- Milio ya risasi na mabomu ya machozi yalirindima kutoka pande zote mbili za mpaka wa Kenya na Tanzania Namanga,
huku serikali ya Kenya ikiwaonya…
30 Oct 2025
- Maandamano yanaendelea kwa siku ya pili katika miji kadhaa nchini Tanzania.
Lailla Mohammed @mrs.tadicha ametuandalia taarifa hii kuhusu…
30 Oct 2025
- Maandamano yanaendelea kwa siku ya pili katika miji kadhaa nchini Tanzania.
Lailla Mohammed @mrs.tadicha ametuandalia taarifa hii kuhusu…
29 Oct 2025
- Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania Camillius Wambura ametangaza amri ya kutotoka nje jijini humo kuanzia leo saa kumi na mbili jioni. Amri…
29 Oct 2025
- ’Jeshi la polisi kufuatia hali hiyo linawatangazia wakaazi wote wa jiji la Dar es Salaam kuwa kuanzia leo tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 kuanzia saa…
29 Oct 2025
- Vijana watoa sababu kuu zilizowafanya waandamane leo Dar es Salaam Tanzania.
-
Maandamano haya ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya…
29 Oct 2025
- Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya makabiliano makali baina ya polisi na waandamanaji katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam.
-
Maandamano haya ni…
29 Oct 2025
- "Nikishinda kura ya urais nitapokea, nikishindwa nitamuunga mkono na kumpongeza yoyote atakayeshinda," -Mgombea urais kupitia chama cha UDP, Saum…
29 Oct 2025
- Polisi jijini Dar es Salaam wametawanya kundi la vijana waliokuwa wakijaribu kuandamana katika eneo la Kimara Kibo, umbali wa kati ya Ubungo na…
29 Oct 2025
- Polisi wakiwatawanya waandamanji katika eneo la Ubungo-Kimara jijini Dar es Salaama
-
-
#bbcswahili #maandamano #kura #daressalaam
Subscribe kupata…
29 Oct 2025
- Watanzania wameanza rasmi kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
-
-
#bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 #kura…
28 Oct 2025
- Jumatano Oktoba 29, 2025, ni siku muhimu kwa Tanzania. Ni siku ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, tukio la kikatiba linalotazamwa kama…
28 Oct 2025
- Je, unajua kuwa mihimili miwili kati ya mitatu ya serikali ya Tanzania inaongozwa na wanawake?
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiini cha mabadiliko…
28 Oct 2025
- Wakati Tanzania ikitarajiwa kufanya uchaguzi mkuu siku ya Jumatano, hofu bado ipo kwa baadhi ya watu wenye ualbino kama Mariam Staford ambaye aliwahi…
28 Oct 2025
- Leo visiwani Zanzibar wanapiga kura za mapema, zinazohusisha makundi fulani maalum, hasa maofisa wa usalama na wale wa uchaguzi watakaokuwa watumishi…
28 Oct 2025
- Zanzibar, idadi ya vijana wanaojiandaa kupiga kura kwa mara ya kwanza inaongezeka.
Miongoni mwao ni Saimah Said Hamad @lovely_say01 mwanafunzi wa…
27 Oct 2025
- Leo Jumatatu ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mkuu kwa upande wa Tanzania bara, huku zikisalia siku mbili tu kabla ya Watanzania kupiga kura…
27 Oct 2025
- Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar amesisitiza kwamba kura ya mapema ni takwa la kisheria hivyo Tume haina budi kuitekeleza hata kama mchakato…
27 Oct 2025
- Kiongozi mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya wa Cameroon ametangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu na kupanua uongozi wake ambao kwa sasa ni miaka 43.…
27 Oct 2025
- Huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, mchimbaji madini anachimba akifuatilia ndoto zake, akitumaini kwamba “dhahabu ya kijivu” ya…
27 Oct 2025
- Watanzania wanakusanya nguvu za mwisho kabla ya siku ya uchaguzi. Hoja, matumaini, na wasiwasi vinachanganyika huku kila mwananchi akijiandaa…
26 Oct 2025
- Je, umewahi kusikia kuhusu vita vya samadi/mbolea ya ng’ombe?
Waumini wa Kihindu katika kijiji cha Gummatapura, India, Wanaamini, “mungu wao yumo…
26 Oct 2025
- Tazama safari ya ajabu ya mamilioni ya kaa ambayo hufanyika kila mwaka kwenye Kisiwa cha Christmas, kilicho karibu na Indonesia lakini ni sehemu ya…
25 Oct 2025
- Si umri tu unaoamua muda sahihi wa kuota mvi, bali pia lishe, msongo wa mawazo na hata kurithi kwenye familia.
Mtu anaweza kuanza kupata mvi hata…
25 Oct 2025
- Wataalamu wanasema si vyema kutumia mswaki kwa zaidi ya miezi 3 ili kuhakikisha mswaki wako unakusaidia kuosha meno, sio kueneza vijidudu
Mwandishi…
24 Oct 2025
- “Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea na hawajulikani walipo” - Mama Suguta Heche, mama mzazi wa…
24 Oct 2025
- Ikiwa imesalia siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, aliyekuwa makamu wa Rais wa Uganda Daktari Speciosa Wandira Kazibwe anaongoza ujumbe…
24 Oct 2025
- Wachezaji 40 wa mieleka aina ya Sumo kutoka Japan wamesababisha uhaba wa tambi katika mtaa mmoja huko London Uingereza.
-
Je ilikuwa kuwaje hadi…
24 Oct 2025
- “Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea”
Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA…
24 Oct 2025
- ‘Mtu hataruhusiwa kunywa pombe bila ya kuwa na leseni rasmi ya ulevi’ hii ni moja ya ahadi tata iliyotolewa na mgombea urais Zanzibar
Mwandishi wa…
23 Oct 2025
- Katika mafanikio makubwa ya kimatibabu, madaktari katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta nchini Kenya, wamefanya upasuaji wa kipekee wa…
23 Oct 2025
- Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetoa taarifa kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho John Heche hajafikishwa kwenye kituo chochote cha…
23 Oct 2025
- Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu ameshinda pingamizi aliloliweka kupinga upande wa mashtaka kuwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa…
23 Oct 2025
- Chui alelewa kama Paka miaka 2
23 Oct 2025
- Mahakama moja kaskazini mwa Nigeria, siku ya Jumatatu iliamuru wachekeshaji wawili maarufu wa TikTok, Idris Mai Wushirya na Basira Yar Guda kuoana…
22 Oct 2025
- Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania John Heche amekamatwa na polisi nje ya mahakama alipokuwa amehudhuria kesi ya uhaini…
22 Oct 2025
- Polisi nchini Uganda wamethibitisha vifo vya watu 46 huku wengine wengi wakipokea matibabu kufuatia ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo. Taarifa…
22 Oct 2025
- Anafahamika kwa jina la @sillymusic__ , ni mtengeneza maudhui na mwanamuziki mwenye asili ya Kikorea ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mtandao…
22 Oct 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Oct 2025
- Bei ya dhahabu imepanda na kufikia kiwango cha juu zaidi kabisa cha zaidi ya dola 4,200 kwa kila aunsi (sawa na gramu 28), huku wawekezaji wakitafuta…
21 Oct 2025
- Katika siku za hivi karibuni, wapiganaji wa Hamas hawakukabiliana na jeshi la Israel tu, bali pia na makundi mengine ndani ya Gaza. Ni dhahiri kuwa…
21 Oct 2025
- “Nataka niwaambie maandamano yatakayokuwepo ni ya watu kwenda vituoni kwenda kupiga kura, hakuna maandamano mengine yatakayokuwepo.
Hakuna tishio la…
21 Oct 2025
- Ndoa ya msanii wa maigizo, na Seneta, ilitikisha mitandao ya kijamii juma lililopita huko Nigeria, na hata hapa Afrika mashariki.
Wawili hawa,…
21 Oct 2025
- Uchaguzi wa urais wa mwaka huu nchini Tanzania umeweka historia mpya baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuidhinisha rasmi jumla ya…
20 Oct 2025
- Visiwa vya Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini kisiasa na utawala, vina mifumo na utaratibu wake wa kipekee.
Wakati…
20 Oct 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza bado yapo na hayajavunjwa. Hii ni kufuatia ghasia zilizoibuka…