Skip to main content
Skip to main content

Je Marekani itafanikiwa kumiliki Greenland? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    19,763 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia viongozi katika mkutano wa kimataifa wa uchumi huko Davos, Uswizi kwamba Marekani pekee ndio taifa lenye uwezo wa kuilinda Greenland. Trump ameongezea kuwa kuimiliki Greenland haitakuwa tishio kwa NATO lakini anaamini kuwa itaimarisha usalama kwa muungano huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw