Skip to main content
Skip to main content

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

  • | BBC Swahili
    15,692 views
    Duration: 28:10
    Shirika la afya duniani WHO limesema linafanya kazi na mataifa wanachama kuziba pengo la kifedha lililoachwa baada ya Marekani kujiondoa. Mkurugenzi mkuu wa kuratibu miradi barani Afrika Dkt Aboubmane Diallo amesema shirika hilo litafanya mkutano karibuni kujadili mwelekeo wake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw