- Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza vita vya Gaza vimefikia mwisho baada ya kutia saini makubaliano ya usitishaji mapigano huko Sharma el Sheikh…
- Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa jimbo Kuu Katoliki Mwanza amesema hakuna Taifa linalokosa Watukutu lakini Watukutu hao hawapaswi kupotezwa, kutekwa au…
- Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya…
- Aliyekuwa Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga anazikwa leo huko Bondo
-
@Roncliffe yuko huko na ametuandalia taarifa hii
-
-
-
#kenya #riprailaodinga #…
- “Nitatekeleza kikamilifu, kwa ukamilifu na kwa haki majukumu makuu ya wadhifa wangu kama Rais wa Jamhuri ya Madagascar,” alisema Randrianirina katika…
- Wakenya wapata fursa ya kumuaga kiongozi wa ODM Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani, kwenye siku iliyoshuhudia umati mkubwa wa watu uliotaka kutoa…
- Sasa hebu fikiria hivi: Wewe ni mwanamke, umechumbiwa, unatazamia maisha ya baadaye ya kujenga familia na mpenzi wa maisha yako, mahari imelipwa kwa…
- Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz anasema anaogopa kuchanganya sanaa yake na siasa kwasababu yeye kama msanii ni wa jamii yote…
- Maelfu ya raia wa Palestina walioachwa bila makao wameanza kurejea makwao kaskazini mwa Gaza wakati makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Isreal…
- Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz anasema anaogopa kuchanganya sanaa yake na siasa kwasababu yeye kama msanii ni wa jamii yote…
- Wapalestina wamekuwa wakisherehekea mitaani huko Gaza baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa Israel na Hamas wameafikiana kuhusu awamu ya…