Skip to main content
Skip to main content

Hali ilivyo uganda baada ya uchaguzi

  • | BBC Swahili
    18,210 views
    Duration: 2:37
    Taarifa Za muda huu kutoka nchini Uganda zinadai wafuasi 7 wa upinzani wameuawa katika vurugu zilizotokea usiku kucha Wakati, Rais Yoweri Museveni akiongoza kwa kiwango kikubwa katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi. Kwa mujibu wa upinzani, wafuasi wao walishambuliwa na vikosi vya usalama walipokuwa wamekusanyika katika makazi ya mbunge wa upinzani Muwanga Kivumbi huko Butambala, takribani kilomita 55 kusini-magharibi mwa mji mkuu Kampala. Hata hivyo, polisi wamekanusha madai hayo na badala yake wanalaumu upinzani kwa kuchochea vurugu. @Roncliffe na @CaroRobi wanatuhabarisha kinachoendelea - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw