Skip to main content
Skip to main content

Hali ya utulivu yarejea nchini Uganda

  • | BBC Swahili
    15,328 views
    Duration: 1:03
    Hali ya utulivu imerejea katika maeneo mengi nchini Uganda baada ya uchaguzi mkuu nchini humo. Rais Yoweri Museveni alitangazwa mshindi wa uchaguzi huo na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kyagulanyi Robert Ssentamu almaarufu Bobi Wine. Baadhi ya wafuasi wa Bobi Wine walijaribu kuandamana katika vitongoji vya nje ya Kampala, lakini jaribio hilo lilizimwa na maafisa wa usalama. @roncliffeodit anaripoti kutoka Kampala Uganda. 🎥 @annaokush #bbcswahili #uganda #Museveni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw