Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    28,516 views
    Duration: 32s
    Watu wawili waliokolewa baada ya puto lao la hewa ya moto kunaswa kwenye mnara wa mawasiliano mita 280 juu katika mji wa Longview, Mashariki mwa Texas nchini Marekani. Wazima moto 14 walitekeleza operesheni ngumu iliyochukua saa nne, wakiwafunga waathiriwa mikanda maalum ya usalama kabla ya kuwashusha salama hadi chini. Wote wawili walipelekwa hospitalini kama tahadhari. Mamlaka ya usafiri wa anga inaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. - - @frankmavura #bbcswahilii #marekani #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw