Skip to main content
Skip to main content

Wakenya waliokwama Dubai warejea nyumbani

  • | Citizen TV
    29,399 views
    Duration: 2:46
    Mamia ya wakenya waliokuwa wamekwama Dubai kufuatia mgogoro unaoendelea baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran wamewasili nchini adhuhuri ya leo. Ndege ya Kenya Airways iliyokuwa imewabeba wakenya hao wakiwemo wanafunzi waliokuwa ziarani katika himaya ya milki za kiarabu. Brenda Wanga anaarifu zaidi