- 6,491 viewsDuration: 1:49Je, unajua kuwa kuanzia Februari 2026, mshahara wa Wakenya wengi utapungua, hata kama mshahara wako haujapunguzwa rasmi? Sababu kubwa ni ongezeko la mchango wa lazima wa pensheni kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii — NSSF. Kwa makadirio ya sasa, wafanyakazi nchini Kenya watalazimika kuchangia hadi dola 13 hadi 14 zaidi kila mwezi kutoka kwenye mishahara yao. Je mageuzi ya NSSF ni uwekezaji wa baadae au maumivu ya sasa? @bosha_nyanje na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #kenya #ushuru #nssf #mshahara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw