Skip to main content
Skip to main content

Jinsi Polisi wa Sierra Leone wanavyopambana na biashara haramu ya binadamu

  • | BBC Swahili
    1,238 views
    Duration: 27:41
    Africa Eye imepewa fursa ya kipekee ya kufuatana na Polisi wa Sierra Leone kupambana na magenge ya kihalifu yanayofanya biashara haramu ya binadamu Afrika Magharibi na kumsaidia baba mmoja katika jitihada zake za kuwatafuta watoto wake waliopotea. #bbcswahili #sierraleone #biasharaharamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw