- 16,882 viewsDuration: 2:57@ishowspeed ni streamer na YouTuber maarufu duniani aliyepata umaarufu kupitia livestreams zenye nguvu, ucheshi wa ghafla na klipu zilizosambaa mitandaoni. Ziara yake ya “Speed Does Africa” imevutia mamilioni ya watazamaji kwa kuonyesha burudani, changamoto na tamaduni za Afrika kwa njia ya kipekee. Ziara hiyo imefanikiwa sana, hasa Kenya ambako alivunja rekodi za watazamaji na kupokelewa rasmi. Safari yake imeongeza mwonekano wa Afrika kimataifa, ingawa swali linaendelea kuulizwa kwa nini hakutembelea Tanzania licha ya hamasa kubwa. Mwandishi wa BBC @frankmavura ameiangazia ziara yake katika nchi 20 za Afrika. - - #bbcswahili #foryou #Genz #Utalii #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw