- 14,630 viewsDuration: 2:20Upasuaji wa maiti ya Constance Githinji, mwanafunzi wa chuo kikuu aliyepatikana amefariki katika jengo moja mtaani Kileleshwa, umebaini kuwa alikuwa na majeraha kadhaa mwilini, tofauti na ilivyodaiwa awali kwamba alijitoa uhai.