- 23,136 viewsDuration: 1:44Mgombe urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie. Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 40. Mwanahabari wetu @RoncliffeOdit alikuwa katika eneo la Magere wakati Bobi Wine akipiga kura. 📹@eagansalla_gifted_sounds - - #bbcswahili #kura #uongozi #ugandaelections2026 #uganda #BobiwineForPresident #bobiwine2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw